Ufafanuzi wa limbikiza katika Kiswahili

limbikiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka vitu kidogokidogo ili viwe vingi.

    weka

Matamshi

limbikiza

/limbikiza/