Ufafanuzi wa limbua katika Kiswahili

limbua

kitenzi elekezi

  • 1

    kula kwa mara ya kwanza mazao ya shamba au bustani katika msimu fulani.

Matamshi

limbua

/limbua/