Ufafanuzi wa linganifu katika Kiswahili

linganifu

kivumishi

  • 1

    -enye kuweza kulinganisha na nyingine.

Matamshi

linganifu

/linganifu/