Ufafanuzi wa linta katika Kiswahili

linta

nomino

  • 1

    zege linalojengewa juu ya kuta ili kuzifanya kushikamana na kuwa imara.

Asili

Kng

Matamshi

linta

/linta/