Ufafanuzi wa lipa katika Kiswahili

lipa

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kitu au fanya jambo baada ya kupewa au kufanyiwa jambo fulani.

    ‘Lipa deni’

Matamshi

lipa

/lipa/