Ufafanuzi wa lisha katika Kiswahili

lisha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu chakula, kwa kumtia mdomoni kama afanyiwavyo mtoto.

    rai

  • 2

    gawa chakula.

Matamshi

lisha

/li∫a/