Ufafanuzi wa litmasi katika Kiswahili

litmasi

nominoPlural litmasi

  • 1

    dutu inayogeuza rangi na kuifanya kuwa nyekundu inapogusana na asidi na hugeuka samawati inapogusana na alkali.

Asili

Kng

Matamshi

litmasi

/litmasi/