Ufafanuzi wa liwaza katika Kiswahili

liwaza

kitenzi elekezi

  • 1

    bembeleza ili kutoa mtu majonzi.

    fariji, poza

Matamshi

liwaza

/liwaza/