Ufafanuzi wa liza katika Kiswahili

liza

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha mtu alie.

    ‘Ukinikumbusha utaniliza’

Matamshi

liza

/liza/