Ufafanuzi wa lizi katika Kiswahili

lizi

nominoPlural lizi

  • 1

    haki ya kumiliki ardhi kwa muda fulani, agh. miaka 33 au 99.

    ‘Lizi ya kujenga’

Asili

Kng

Matamshi

lizi

/lizi/