Ufafanuzi wa lofa katika Kiswahili

lofa

nomino

  • 1

    mtu anayezururazurura asiye na kitu wala kazi.

Asili

Kng

Matamshi

lofa

/lɔfa/