Ufafanuzi wa lopoo katika Kiswahili

lopoo

nominoPlural malopoo

  • 1

    makala yanayochapwa kwenye jarida na baadaye makala hayo kutolewa nakala kadhaa na kupelekewa mwandishi wa makala hayo kuwa kumbukumbu yake na kugawa nakala nyingine kwa watu wengine waweze kusoma.

Matamshi

lopoo

/lɔpɔ:/