Ufafanuzi wa lori katika Kiswahili

lori

nominoPlural malori

  • 1

    gari kubwa litumikalo kubebea mizigo, agh. lenye uzito wa kuanzia tani tatu na kuendelea.

Matamshi

lori

/lɔri/