Ufafanuzi wa losheni katika Kiswahili

losheni

nomino

  • 1

    aina ya mafuta mazito yanayopakwa kwenye ngozi ya binadamu ili kuilainisha.

Asili

Kng

Matamshi

losheni

/lɔ∫ɛni/