Ufafanuzi wa loweka katika Kiswahili

loweka

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kitu kwenye maji ili kipate maji chepechepe.

    ambika, bambika

Matamshi

loweka

/lɔwɛka/