Ufafanuzi wa lozi katika Kiswahili

lozi

nominoPlural lozi

  • 1

    kiini cha kokwa mfano wa badamu kinachopatikana katika tunda la mlozi.

    kungu, badamu

Matamshi

lozi

/lɔzi/