Ufafanuzi wa lubega katika Kiswahili

lubega, rubega

nominoPlural lubega

  • 1

    mvao wa nguo k.v. shuka, ambao upande mmoja hupitishwa chini ya kwapa la mkono mmoja, kupitia mbele ya kifua, na upande mwingine kufungiwa juu ya bega la mkono mwingine, kupitia mgongoni.

Matamshi

lubega

/lubɛga/