Ufafanuzi wa lugha ya kimataifa katika Kiswahili

lugha ya kimataifa

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    lugha yenye hadhi ya kutumika katika mataifa mengi duniani k.v. Kiingereza, Kiarabu, Kifaransa, Kiswahili, n.k..