Ufafanuzi wa lugha ya taifa katika Kiswahili

lugha ya taifa

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    lugha iliyoteuliwa k.v. Kiswahili, kuwa kitambulisho cha utamaduni wa taifa zima na hukidhi mahitaji ya mawasiliano ya watu wote katika nchi nzima k.v. Kenya au Tanzania.