Ufafanuzi wa lumba katika Kiswahili

lumba

kitenzi elekezi

  • 1

    sema, agh. kwa ajili ya kumsema mtu au kugombana.

Matamshi

lumba

/lumba/