Ufafanuzi wa luteni-jenerali katika Kiswahili

luteni-jenerali

nominoPlural maluteni-jenerali

  • 1

    ofisa wa jeshi mwenye cheo cha juu ya meja-jenerali na chini ya jenerali.

Asili

Kng

Matamshi

luteni-jenerali

/lutɛni ʄɛnɛrali/