Ufafanuzi msingi wa maabudu katika Kiswahili

: Maabudu1maabudu2

Maabudu1

nomino

Kidini
 • 1

  Kidini
  anayestahiki kuabudiwa.

  Mwenyezi Mungu

Asili

Kar

Matamshi

Maabudu

/ma abudu/

Ufafanuzi msingi wa maabudu katika Kiswahili

: Maabudu1maabudu2

maabudu2

nomino

 • 1

  Kidini
  vitu vinavyoabudiwa na watu wanaofuata dini au itikadi fulani.

 • 2

  chochote kinachoabudiwa.

Asili

Kar

Matamshi

maabudu

/ma abudu/