Ufafanuzi wa maadhura katika Kiswahili

maadhura

nominoPlural maadhura

  • 1

    mtu au watu walioomba udhuru, k.v. katika mkutano, kikao, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

maadhura

/ma aðura/