Ufafanuzi wa maagizo katika Kiswahili

maagizo

nomino

  • 1

    maelekezo yatolewayo na mkuu kwa anayemwongoza au mwenye cheo cha chini kuliko yeye mkuu.

Matamshi

maagizo

/ma agizÉ”/