Ufafanuzi wa maajabu katika Kiswahili

maajabu

nominoPlural maajabu

  • 1

    matukio ya kushangaza yasiyo ya kawaida.

    hekaya

Asili

Kar

Matamshi

maajabu

/ma aʄabu/