Ufafanuzi wa maalumu katika Kiswahili

maalumu, maalum

kivumishi

  • 1

    -enye sifa au nafasi ya pekee miongoni mwa vitu vingine.

    hususan, spesheli, mahususi

Asili

Kar

Matamshi

maalumu

/ma alumu/