Ufafanuzi wa maandishi katika Kiswahili

maandishi

nomino

  • 1

    jumla ya maneno yaliyoandikwa; maelezo yaliyoandikwa.

    ‘Lete maombi yako kwa maandishi’
    makala

  • 2

    kazi iliyoandikwa na mtu au shirika.