Ufafanuzi msingi wa maanga katika Kiswahili

: maanga1maanga2

maanga1

kivumishi

  • 1

    inayoweza kupenyeza mwangaza hadi chini kuwezesha mtu kuona kina cha maji.

    ‘Maji maanga’
    angavu

Matamshi

maanga

/ma anga/

Ufafanuzi msingi wa maanga katika Kiswahili

: maanga1maanga2

maanga2

nominoPlural maanga

  • 1

    miali ya jua au mbalamwezi iliyopenya kwenye k.v. chumba kupitia kwenye matundu au nyufa.

Matamshi

maanga

/ma anga/