Ufafanuzi msingi wa maarasi katika Kiswahili

: maarasi1maarasi2

maarasi1

nominoPlural maarasi

 • 1

  mti wa kusaidia kuchukulia mizigo.

  mpiko, mzega

 • 2

  kipimo cha madebe mawili ya maji, agh. yanayochukuliwa kwenye mzega.

  ‘Lete maji maarasi moja’

Asili

Kar

Matamshi

maarasi

/ma arasi/

Ufafanuzi msingi wa maarasi katika Kiswahili

: maarasi1maarasi2

maarasi2

nominoPlural maarasi

 • 1

  mtu asiyetumia akili yake; mtu anayeshindwa kufahamu jambo hata akielezwa.

  mpumbavu, zebe

Asili

Kar

Matamshi

maarasi

/ma arasi/