Ufafanuzi wa maarifa katika Kiswahili

maarifa

nomino

  • 1

    njia inayotumiwa kujitoa katika shida ama kuweza kupata kitu.

    hekima

  • 2

    elimu, ujuzi.

Asili

Kar

Matamshi

maarifa

/ma arifa/