Ufafanuzi wa maarufu katika Kiswahili

maarufu

kivumishi

  • 1

    -enye kujulikana kila mahali.

    mashuhuri

Asili

Kar

Matamshi

maarufu

/ma arufu/