Ufafanuzi wa maasi katika Kiswahili

maasi

nominoPlural maasi

  • 1

    vitendo vya kutotii amri au kutofuata kanuni au taratibu za jamii.

  • 2

    dhambi, maasia

Asili

Kar

Matamshi

maasi

/ma asi/