Ufafanuzi wa maasia katika Kiswahili

maasia

nominoPlural maasia

Kidini
  • 1

    Kidini
    mambo yanayotendwa kinyume cha sheria za dini.

    dhambi, maasi

Asili

Kar

Matamshi

maasia

/ma asija/