Ufafanuzi wa mabano katika Kiswahili

mabano

nominoPlural mabano

  • 1

    alama za nusu mviringo zinazotumika kuzingira maandishi k.m. zilizozingira neno (baba).

    braketi

Matamshi

mabano

/mabanɔ/