Ufafanuzi wa machakura katika Kiswahili

machakura

nominoPlural machakura

  • 1

    utafutaji wa kitu kilichofichika chini ya kitu kingine kama majani.

Matamshi

machakura

/mat∫akura/