Ufafanuzi wa machicha katika Kiswahili

machicha

nominoPlural machicha

  • 1

    masalio ya pombe yanayotuama chini ya pipa au mtungi.

  • 2

    masazo ya majani ya chai baada ya kupikwa chai.

Matamshi

machicha

/mat∫it∫a/