Ufafanuzi wa machinga katika Kiswahili

machinga

nominoPlural machinga

  • 1

    mfanyabiashara anayetembeza bidhaa zake aghalabu kwa miguu ili kuwatafuta wateja.

    mmachinga

Matamshi

machinga

/mat∫inga/