Ufafanuzi wa machipuko katika Kiswahili

machipuko

nomino

  • 1

    kuota mimea au nyasi ambazo ndio zinaanza.

Matamshi

machipuko

/mat∫ipukɔ/