Ufafanuzi wa Macho yake yaona giza katika Kiswahili

Macho yake yaona giza

msemo

  • 1

    macho yake ni dhaifu, hayana nguvu sawasawa.