Ufafanuzi wa machofu katika Kiswahili

machofu

nomino

  • 1

    hali ya kuishiwa nguvu baada ya kufanya kazi au shughuli nzito.

    uchovu

Matamshi

machofu

/mat∫ɔfu/