Ufafanuzi msingi wa madadi katika Kiswahili

: madadi1madadi2madadi3

madadi1 , mdadi

nominoPlural madadi

  • 1

    nguvu au mori unaomfanya mtu kufanya jambo bila ya kujijua na unaotokana na kulipenda sana jambo hilo.

Asili

Kar

Matamshi

madadi

/madadi/

Ufafanuzi msingi wa madadi katika Kiswahili

: madadi1madadi2madadi3

madadi2

nominoPlural madadi

  • 1

    bangi iliyoviringwa tayari kwa kuvutwa.

Asili

Kar

Matamshi

madadi

/madadi/

Ufafanuzi msingi wa madadi katika Kiswahili

: madadi1madadi2madadi3

madadi3

nominoPlural madadi

kishairi
  • 1

    kishairi hali au kitu anachotoa mtu au nchi ili kutimiza haja ya mtu au nchi nyingine.

Asili

Kar

Matamshi

madadi

/madadi/