Ufafanuzi wa madaraka katika Kiswahili

madaraka

nominoPlural madaraka

  • 1

    uwezo wa kupanga na kufanya mambo fulani anaopewa mtu ama nchi.

    ‘Serikali ya madaraka’
    nguvu, uwezo, wadhifa, dhima

Matamshi

madaraka

/madaraka/