Ufafanuzi wa madhabahu katika Kiswahili

madhabahu

nominoPlural madhabahu

 • 1

  mahali pa kutolea kafara ama kufanyia tambiko.

 • 2

  Kidini
  meza ya kutolea sadaka ya misa kanisani.

  altare

 • 3

  mahali pa kuchinjia wanyama.

Asili

Kar

Matamshi

madhabahu

/maðabahu/