Ufafanuzi wa madigadi katika Kiswahili

madigadi

nomino

  • 1

    bati linalozuia tope lililoko juu ya gurudumu la gari au baiskeli.

    bango

Asili

Kng

Matamshi

madigadi

/madigadi/