Ufafanuzi wa madoadoa katika Kiswahili

madoadoa

nomino

  • 1

    mawaa au mabaka kwenye nguo au ngozi ya mnyama.

Matamshi

madoadoa

/madɔwadɔwa/