Ufafanuzi wa madobini katika Kiswahili

madobini

nomino

  • 1

    mahali maalumu ambapo madobi hufulia nguo.

    fuo

Asili

Khi

Matamshi

madobini

/madɔbini/