Ufafanuzi wa maegesho katika Kiswahili

maegesho

nominoPlural maegesho

  • 1

    hali au namna ya kukileta chombo ufukoni ili kutia nanga.

  • 2

    mahali maalumu panapotengwa kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri k.v. magari.

Matamshi

maegesho

/maɛgɛ∫ɔ/