Ufafanuzi wa maelekeo katika Kiswahili

maelekeo

nominoPlural maelekeo

  • 1

    hali ya kuelekea upande fulani, hali ya kuwa na msimamo maalumu wa jambo fulani.

Matamshi

maelekeo

/maɛlɛkɛjɔ/