Ufafanuzi wa maelekezo katika Kiswahili

maelekezo

nomino

  • 1

    maelezo yanayofahamisha namna ya kufuata maagizo, mwongozo au mwelekeo wa kufanya jambo.

    agizo

Matamshi

maelekezo

/maɛlɛkɛzɔ/