Ufafanuzi wa maelezo katika Kiswahili

maelezo

nomino

  • 1

    maneno yanayofahamisha kitu au habari fulani.

    ufafanuzi, kaifa, maoni, fundisho, dhihirisho

Matamshi

maelezo

/maɛlɛzɔ/